sw_tn/deu/08/13.md

883 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

wakati kundi la wanyama...dhahabu inaongezeka

Haya maneno ni ya mwisho katika orodha ya "wakati" vishazi ambavyo huanza pamoja na "wakati unakula" 8:11

kundi la wanyama wako na mifugo yako

"kundi la ng'ombe wako na kundi la kondoo wako na mbuzi"

kuongezeka

"kuongezeka kwa namba" au "kuwa wengi"

vyote ambavyo umezidisha

"una vitu vingi zaidi" au "una umiliki mwingi zaidi"

kwamba wakati ule moyo wako ulipoiunuliwa... ulimsahau Yahwe

Musa ambia mambo mawili ambayo yatatokea kama wote "wakati" maelezo 8:11 yanakuwa kweli.

moyo wako umefanyika kuinuliwa juu

Hii ni nahau "unaweza kuwa na kiburi"

nani alikuleta nje

Musa anaanza kuwakumbusha wanaisraeli kwa kile wanachojua kuhusu Yahwe.

nje ya nyuma ya utumwa

Huu ni mfano wa wakati walipokuwa watumwa huko Misri.