# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja. # wakati kundi la wanyama...dhahabu inaongezeka Haya maneno ni ya mwisho katika orodha ya "wakati" vishazi ambavyo huanza pamoja na "wakati unakula" 8:11 # kundi la wanyama wako na mifugo yako "kundi la ng'ombe wako na kundi la kondoo wako na mbuzi" # kuongezeka "kuongezeka kwa namba" au "kuwa wengi" # vyote ambavyo umezidisha "una vitu vingi zaidi" au "una umiliki mwingi zaidi" # kwamba wakati ule moyo wako ulipoiunuliwa... ulimsahau Yahwe Musa ambia mambo mawili ambayo yatatokea kama wote "wakati" maelezo 8:11 yanakuwa kweli. # moyo wako umefanyika kuinuliwa juu Hii ni nahau "unaweza kuwa na kiburi" # nani alikuleta nje Musa anaanza kuwakumbusha wanaisraeli kwa kile wanachojua kuhusu Yahwe. # nje ya nyuma ya utumwa Huu ni mfano wa wakati walipokuwa watumwa huko Misri.