sw_tn/deu/08/13.md

36 lines
883 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.
# wakati kundi la wanyama...dhahabu inaongezeka
Haya maneno ni ya mwisho katika orodha ya "wakati" vishazi ambavyo huanza pamoja na "wakati unakula" 8:11
# kundi la wanyama wako na mifugo yako
"kundi la ng'ombe wako na kundi la kondoo wako na mbuzi"
# kuongezeka
"kuongezeka kwa namba" au "kuwa wengi"
# vyote ambavyo umezidisha
"una vitu vingi zaidi" au "una umiliki mwingi zaidi"
# kwamba wakati ule moyo wako ulipoiunuliwa... ulimsahau Yahwe
Musa ambia mambo mawili ambayo yatatokea kama wote "wakati" maelezo 8:11 yanakuwa kweli.
# moyo wako umefanyika kuinuliwa juu
Hii ni nahau "unaweza kuwa na kiburi"
# nani alikuleta nje
Musa anaanza kuwakumbusha wanaisraeli kwa kile wanachojua kuhusu Yahwe.
# nje ya nyuma ya utumwa
Huu ni mfano wa wakati walipokuwa watumwa huko Misri.