sw_tn/deu/07/07.md

606 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe. Mifano yote ya "wewe" na "yako" ni uwingi.

hakuweka upendo wake juu yenu

"hakuwapenda ninyi"

pamoja na mkono hodari

Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe.

kuwakomboa toka nyumba ya utumwa

Musa anazungumza juu ya Yahwe kuwakomboa watu wa Israeli kutoka katika utumwa kama vile Yahwe amelipa pesa kwa mmiliki wa mtumwa.

nyumba ya utumwa

Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri, eneo ambalo watu wa Israeli walikuwa watumwa.

mkono wa Farao

Hapa "mkono" una maana "utawala wa" "utawala wa Farao"