sw_tn/deu/07/07.md

24 lines
606 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe. Mifano yote ya "wewe" na "yako" ni uwingi.
# hakuweka upendo wake juu yenu
"hakuwapenda ninyi"
# pamoja na mkono hodari
Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe.
# kuwakomboa toka nyumba ya utumwa
Musa anazungumza juu ya Yahwe kuwakomboa watu wa Israeli kutoka katika utumwa kama vile Yahwe amelipa pesa kwa mmiliki wa mtumwa.
# nyumba ya utumwa
Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri, eneo ambalo watu wa Israeli walikuwa watumwa.
# mkono wa Farao
Hapa "mkono" una maana "utawala wa" "utawala wa Farao"