# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe. Mifano yote ya "wewe" na "yako" ni uwingi. # hakuweka upendo wake juu yenu "hakuwapenda ninyi" # pamoja na mkono hodari Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe. # kuwakomboa toka nyumba ya utumwa Musa anazungumza juu ya Yahwe kuwakomboa watu wa Israeli kutoka katika utumwa kama vile Yahwe amelipa pesa kwa mmiliki wa mtumwa. # nyumba ya utumwa Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri, eneo ambalo watu wa Israeli walikuwa watumwa. # mkono wa Farao Hapa "mkono" una maana "utawala wa" "utawala wa Farao"