sw_tn/deu/06/20.md

688 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja

Ni zipi amri za agano...amrisha ninyi

Hili swali ni maneno. "Nini amri za agano...aliamuru umaanisha kwako" au "Kwanini tunapaswa kutii amri za agano...amrisha ninyi"

mwana wako

Hii urejea kwa watoto wa watu wakubwa wa Israeli ambao Musa alikuwa anazungumza maneno ya Yahwe.

na mkono hodari

Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe/

na juu ya nyumba yake yote

Hapa maneno "nyuma yake" urejea kwa watu wa Yahwe.

mbele za macho yenu

Hapa neno "macho" urejea kwa mtu kamili

kuweza kutuleta sisi ndani

Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.