# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja # Ni zipi amri za agano...amrisha ninyi Hili swali ni maneno. "Nini amri za agano...aliamuru umaanisha kwako" au "Kwanini tunapaswa kutii amri za agano...amrisha ninyi" # mwana wako Hii urejea kwa watoto wa watu wakubwa wa Israeli ambao Musa alikuwa anazungumza maneno ya Yahwe. # na mkono hodari Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe/ # na juu ya nyumba yake yote Hapa maneno "nyuma yake" urejea kwa watu wa Yahwe. # mbele za macho yenu Hapa neno "macho" urejea kwa mtu kamili # kuweza kutuleta sisi ndani Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.