sw_tn/deu/06/20.md

28 lines
688 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja
# Ni zipi amri za agano...amrisha ninyi
Hili swali ni maneno. "Nini amri za agano...aliamuru umaanisha kwako" au "Kwanini tunapaswa kutii amri za agano...amrisha ninyi"
# mwana wako
Hii urejea kwa watoto wa watu wakubwa wa Israeli ambao Musa alikuwa anazungumza maneno ya Yahwe.
# na mkono hodari
Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe/
# na juu ya nyumba yake yote
Hapa maneno "nyuma yake" urejea kwa watu wa Yahwe.
# mbele za macho yenu
Hapa neno "macho" urejea kwa mtu kamili
# kuweza kutuleta sisi ndani
Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.