sw_tn/deu/03/01.md

28 lines
786 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kwa kile kilichotokea hapo nyuma.
# Ogi...Sihoni
Haya ni majina ya wafalme
# Edrei...Heshbon
Haya ni majina ya miji.
# Yahwe alisema nami, 'Usimuogope; ...nimekupa...chini ya utawala wako...Utafanya...kama ulivyofanya...huko Heshbon.'
Yahwe anazungumza na Musa kama Musa alikuwa mwanaisraeli, hivyo amri "usiogope" na mifano yote ya "wewe" na "yako" viko katika wingi.
# muogope yeye...juu yake...watu wake na nchi yake
Hapa maneno "yeye" na "yake" urejea kwa Ogi
# Nimekwisha kukupa ushindi
Yahwe anazungumza kwa kile atakachofanya kama vile amekwisha fanya.
# Utafanya kwake kama ulivyofanya kwa Sihoni
Neno "kwake" ni neno la badala la "watu wake." "Utamharibu Ogi na watu wake kama ulivyofanya kwa Sihoni"