# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kwa kile kilichotokea hapo nyuma. # Ogi...Sihoni Haya ni majina ya wafalme # Edrei...Heshbon Haya ni majina ya miji. # Yahwe alisema nami, 'Usimuogope; ...nimekupa...chini ya utawala wako...Utafanya...kama ulivyofanya...huko Heshbon.' Yahwe anazungumza na Musa kama Musa alikuwa mwanaisraeli, hivyo amri "usiogope" na mifano yote ya "wewe" na "yako" viko katika wingi. # muogope yeye...juu yake...watu wake na nchi yake Hapa maneno "yeye" na "yake" urejea kwa Ogi # Nimekwisha kukupa ushindi Yahwe anazungumza kwa kile atakachofanya kama vile amekwisha fanya. # Utafanya kwake kama ulivyofanya kwa Sihoni Neno "kwake" ni neno la badala la "watu wake." "Utamharibu Ogi na watu wake kama ulivyofanya kwa Sihoni"