sw_tn/deu/03/01.md

786 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kwa kile kilichotokea hapo nyuma.

Ogi...Sihoni

Haya ni majina ya wafalme

Edrei...Heshbon

Haya ni majina ya miji.

Yahwe alisema nami, 'Usimuogope; ...nimekupa...chini ya utawala wako...Utafanya...kama ulivyofanya...huko Heshbon.'

Yahwe anazungumza na Musa kama Musa alikuwa mwanaisraeli, hivyo amri "usiogope" na mifano yote ya "wewe" na "yako" viko katika wingi.

muogope yeye...juu yake...watu wake na nchi yake

Hapa maneno "yeye" na "yake" urejea kwa Ogi

Nimekwisha kukupa ushindi

Yahwe anazungumza kwa kile atakachofanya kama vile amekwisha fanya.

Utafanya kwake kama ulivyofanya kwa Sihoni

Neno "kwake" ni neno la badala la "watu wake." "Utamharibu Ogi na watu wake kama ulivyofanya kwa Sihoni"