sw_tn/deu/01/34.md

28 lines
459 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini Yahwe alivyosema nao.
# alisikia sauti ya maneno yao
"alisikia kile mlikuwa mnasema"
# aliapa na kusema
Mungu alifanya kiapo si kuwaruhusu wale walioasi dhidi yake kuingia nchi aliyowaahidia kuwapa.
# utaona
"utaingia"
# muokoe Kalebu
"isopokuwa Kalebu"
# Jephunnehi
Hili ni jina la baba yake na Kalebu.
# alimfuata kikamilifu Yahwe
Yahwe anazungumza kama alikuwa mtu mwingine.