sw_tn/deu/01/34.md

459 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini Yahwe alivyosema nao.

alisikia sauti ya maneno yao

"alisikia kile mlikuwa mnasema"

aliapa na kusema

Mungu alifanya kiapo si kuwaruhusu wale walioasi dhidi yake kuingia nchi aliyowaahidia kuwapa.

utaona

"utaingia"

muokoe Kalebu

"isopokuwa Kalebu"

Jephunnehi

Hili ni jina la baba yake na Kalebu.

alimfuata kikamilifu Yahwe

Yahwe anazungumza kama alikuwa mtu mwingine.