# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini Yahwe alivyosema nao. # alisikia sauti ya maneno yao "alisikia kile mlikuwa mnasema" # aliapa na kusema Mungu alifanya kiapo si kuwaruhusu wale walioasi dhidi yake kuingia nchi aliyowaahidia kuwapa. # utaona "utaingia" # muokoe Kalebu "isopokuwa Kalebu" # Jephunnehi Hili ni jina la baba yake na Kalebu. # alimfuata kikamilifu Yahwe Yahwe anazungumza kama alikuwa mtu mwingine.