sw_tn/deu/01/17.md

20 lines
432 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na waamuzi, basi amri ni wingi.
# Hautaonesha upendeleo
"Usioneshe upendeleo"
# utasikia madogo na makubwa sawasawa
Huku kulikokithiri kuwili "madogo" na "makubwa" uwakilisha watu wote.
# Hautaogopa uso wa mtu
Hapa neno "uso" ni neno badala ya mtu kamili. "Hauta" ni amri. "Usimuogope yeyote"
# kwa wakati ule
Hii umaanisha wakati walipokuwa huko Horebu, katika mlima wa Sinai.