# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na waamuzi, basi amri ni wingi. # Hautaonesha upendeleo "Usioneshe upendeleo" # utasikia madogo na makubwa sawasawa Huku kulikokithiri kuwili "madogo" na "makubwa" uwakilisha watu wote. # Hautaogopa uso wa mtu Hapa neno "uso" ni neno badala ya mtu kamili. "Hauta" ni amri. "Usimuogope yeyote" # kwa wakati ule Hii umaanisha wakati walipokuwa huko Horebu, katika mlima wa Sinai.