sw_tn/deu/01/17.md

432 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na waamuzi, basi amri ni wingi.

Hautaonesha upendeleo

"Usioneshe upendeleo"

utasikia madogo na makubwa sawasawa

Huku kulikokithiri kuwili "madogo" na "makubwa" uwakilisha watu wote.

Hautaogopa uso wa mtu

Hapa neno "uso" ni neno badala ya mtu kamili. "Hauta" ni amri. "Usimuogope yeyote"

kwa wakati ule

Hii umaanisha wakati walipokuwa huko Horebu, katika mlima wa Sinai.