sw_tn/dan/04/23.md

20 lines
404 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Mistari ya 19-33 inatumia nafsi ya tatu kuelezea hukumu ya Nebukadneza
# Maelezo ya jumla
Mistari hii inafanana sawa sawa kama 4:13 na 4:15
# kisiki cha mizizi yake
Hii ni sehemu ya mti ambayo huachwa juu ya ardhi baada ya mti kukatwa.
# katikati ya mche mororo katika shamba
"imezungukwa na miche nyororo ya shamba"
# umande
"unyevu nyevu ulio katika nchi wakati wa asubuhi"