# Maelezo ya jumla Mistari ya 19-33 inatumia nafsi ya tatu kuelezea hukumu ya Nebukadneza # Maelezo ya jumla Mistari hii inafanana sawa sawa kama 4:13 na 4:15 # kisiki cha mizizi yake Hii ni sehemu ya mti ambayo huachwa juu ya ardhi baada ya mti kukatwa. # katikati ya mche mororo katika shamba "imezungukwa na miche nyororo ya shamba" # umande "unyevu nyevu ulio katika nchi wakati wa asubuhi"