sw_tn/dan/04/15.md

20 lines
565 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Katika mistari ya 1-18, Nebukadneza anaeleza maono yake kutoka kwa Mungu katika nafsi ya kwanza
# Maelezo ya jumla
Mjumbe mtakatifu katika maono anaendelea kupiga kelele kwa baadhi ya watu.
# kisiki cha mizizi yake
Hii ni sehemy ya mti ambayo huuchwa ardhini baada ya mti kukatwa.
# umande
huu ni unyevu nyevu juu ya nchi ambao unapatikana wakati wa asubuhi.
# Akili yake na ibadilishwe kutoka... mpaka ipite miaka saba
Kwa kuwa mti unamwakilisha Nebukadneza, kwa hiyo viwakilishi vyote vimetumika katika kifungu hiki kumwongelea yeye.