# Maelezo ya jumla Katika mistari ya 1-18, Nebukadneza anaeleza maono yake kutoka kwa Mungu katika nafsi ya kwanza # Maelezo ya jumla Mjumbe mtakatifu katika maono anaendelea kupiga kelele kwa baadhi ya watu. # kisiki cha mizizi yake Hii ni sehemy ya mti ambayo huuchwa ardhini baada ya mti kukatwa. # umande huu ni unyevu nyevu juu ya nchi ambao unapatikana wakati wa asubuhi. # Akili yake na ibadilishwe kutoka... mpaka ipite miaka saba Kwa kuwa mti unamwakilisha Nebukadneza, kwa hiyo viwakilishi vyote vimetumika katika kifungu hiki kumwongelea yeye.