sw_tn/dan/01/01.md

28 lines
593 B
Markdown

# Nebukadneza
Jina hili humrejelea Nebukadneza na wanajeshi wake, siyo yeye peke yake.
# kuzuia mahitaji yake yote
"Kuwazuia watu wasipokee mahitaji"
# Yehoyakimu mfalme wa Yuda
Hii inamrejelea Yehoyakimu na wanajeshi wake, siyo Yehoyakimu peke yake.
# alimpatia
Yehoyakimu alimpa Nebukadneza
# alivipeleka ...aliviweka
Ingawa Nebukadneza hakufanya vitu hivi peke yake, ni vizuri kwa msomaji kutumia umoja tu.
# Alivipeleka
Kiwakilishi 'vi' kinarejelea vitu/vifaa vitakatifu vilivyochukuliwa kutoka Yerusalemu.
# hazina ya mungu wake
Hiki kitendo kilikuwa na ibada kwa mungu wake