sw_tn/col/03/01.md

24 lines
720 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anawaonya walioamini kwamba kwa kuwa ni wamoja pamoja na Kristo, kuna mambo ambayo waumini hawapaswi kuyafanya
# Mungu amewafufua pamoja na Kristo
Kama vile Mungu alivyo mfufua Kristo kutoka kwa wafu, hivyo anawahesabu waumini wa Kolosai kama waliofufuliwa kwenda mbinguni.
# mambo yaliyo juu
"mambo ya mbinguni" au "mambo ya kimungu"
# kwa kuwa mmekufa
Kama Kristo alivyokufa, hivyo Mungu anawahesabu waumini wa Kolosai kama wamekufa na Kristo.
# maisha yenu yamefichwa pamoja na Kristo
Paulo anazungumzia wale watu waishio kana kwamba walikuwa alama ambayo inayoweza kujificha kwenye chombo cha kubebea.
# ambaye ni maisha yenu
Kristo ni yule atoaye uzima wa kiroho kwa waamini.