sw_tn/amo/08/11.md

16 lines
595 B
Markdown

# asemavyo Bwana Yahwe
Mungu mwenyewe ameagiza
# watatangatanga...watkimbia
Baadhi watatembea polepole na kuanguka chini kirahis, kama mtu mwenye njaa, na wengine watakuwa hapa na huko upesi.
# kutoka bahari hata bahari; watakimbia kutoka kaskazini kwenda magharibi kutafuta neno
"kutoka bahari hata bahari na kutoka kaskazini hata magharibi. Watakuwa wakikimbia kutafuta neno."
# kutoka bahari hata bahari...kutoka kaskazini kwenda magharibi
Kwa ajili ya mtu aliyesimama Betheli, hii ingeweza kuwa mduara: Bahari mfu (kusini) hata Mediterania (magharibi) hata kasikazini hata magharibi.