# asemavyo Bwana Yahwe Mungu mwenyewe ameagiza # watatangatanga...watkimbia Baadhi watatembea polepole na kuanguka chini kirahis, kama mtu mwenye njaa, na wengine watakuwa hapa na huko upesi. # kutoka bahari hata bahari; watakimbia kutoka kaskazini kwenda magharibi kutafuta neno "kutoka bahari hata bahari na kutoka kaskazini hata magharibi. Watakuwa wakikimbia kutafuta neno." # kutoka bahari hata bahari...kutoka kaskazini kwenda magharibi Kwa ajili ya mtu aliyesimama Betheli, hii ingeweza kuwa mduara: Bahari mfu (kusini) hata Mediterania (magharibi) hata kasikazini hata magharibi.