sw_tn/amo/06/12.md

24 lines
647 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Amosi anatumia maswali mawili yasiyokuwa na majibu kuvuta mawazo kuwakemea hao wafuatao.
# Je farasi watakimbia juu ya mteremko wa miamba?
Inawezekana kwa farasi kukimbia juu ya mteremko wa mwamba bila kuumia. Amosi anatumia swali hili lisilokuwa na majibu kuwaonya kwa matendo yao.
# Je mtu atalima huko na ng'ome?
Mmoja hatalima juu ya mwamba. Amosi anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kuwakemea kwa matendo yao.
# Bado mmegeuza haki kuwa sumu
"Lakini umetengeneza sheria"
# na tunda la haki kuwa uchungu
"na huwaadhibu wale wafanyao yaliyo haki"
# Lo Debari...Karnaimu
Hakuna anayejua hii miji ilikuwa wapi.