# Maelezo ya Jumla: Amosi anatumia maswali mawili yasiyokuwa na majibu kuvuta mawazo kuwakemea hao wafuatao. # Je farasi watakimbia juu ya mteremko wa miamba? Inawezekana kwa farasi kukimbia juu ya mteremko wa mwamba bila kuumia. Amosi anatumia swali hili lisilokuwa na majibu kuwaonya kwa matendo yao. # Je mtu atalima huko na ng'ome? Mmoja hatalima juu ya mwamba. Amosi anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kuwakemea kwa matendo yao. # Bado mmegeuza haki kuwa sumu "Lakini umetengeneza sheria" # na tunda la haki kuwa uchungu "na huwaadhibu wale wafanyao yaliyo haki" # Lo Debari...Karnaimu Hakuna anayejua hii miji ilikuwa wapi.