sw_tn/amo/06/12.md

647 B

Maelezo ya Jumla:

Amosi anatumia maswali mawili yasiyokuwa na majibu kuvuta mawazo kuwakemea hao wafuatao.

Je farasi watakimbia juu ya mteremko wa miamba?

Inawezekana kwa farasi kukimbia juu ya mteremko wa mwamba bila kuumia. Amosi anatumia swali hili lisilokuwa na majibu kuwaonya kwa matendo yao.

Je mtu atalima huko na ng'ome?

Mmoja hatalima juu ya mwamba. Amosi anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kuwakemea kwa matendo yao.

Bado mmegeuza haki kuwa sumu

"Lakini umetengeneza sheria"

na tunda la haki kuwa uchungu

"na huwaadhibu wale wafanyao yaliyo haki"

Lo Debari...Karnaimu

Hakuna anayejua hii miji ilikuwa wapi.