sw_tn/amo/04/03.md

16 lines
511 B
Markdown

# bomolewa kwenye kuta za mji
Sehemu ambazo adui alizivunja chini ukuta wamji kuingia
# mtajitupa mbele ya Harmoni
"watakutupa nje kuelekea Harmoni" au "maadui zako watakulazimisha kuondoka mjini na kwenda Harmoni"
# Harmoni
Hii inaweza kuwa sehemu ambayo hatuijui. Au unaweza kurejelewa mlima wa Hermoni, na baadhi ya matoleo ya kisasa yameitafsiri kwa njia hii.
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Hiki kirai kimetumika kuonyesha kwamba mambo aliyoyaongelea Mungu hakika yatatokea. Bwana Mungu anasema.