# bomolewa kwenye kuta za mji Sehemu ambazo adui alizivunja chini ukuta wamji kuingia # mtajitupa mbele ya Harmoni "watakutupa nje kuelekea Harmoni" au "maadui zako watakulazimisha kuondoka mjini na kwenda Harmoni" # Harmoni Hii inaweza kuwa sehemu ambayo hatuijui. Au unaweza kurejelewa mlima wa Hermoni, na baadhi ya matoleo ya kisasa yameitafsiri kwa njia hii. # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo Hiki kirai kimetumika kuonyesha kwamba mambo aliyoyaongelea Mungu hakika yatatokea. Bwana Mungu anasema.