sw_tn/amo/04/03.md

511 B

bomolewa kwenye kuta za mji

Sehemu ambazo adui alizivunja chini ukuta wamji kuingia

mtajitupa mbele ya Harmoni

"watakutupa nje kuelekea Harmoni" au "maadui zako watakulazimisha kuondoka mjini na kwenda Harmoni"

Harmoni

Hii inaweza kuwa sehemu ambayo hatuijui. Au unaweza kurejelewa mlima wa Hermoni, na baadhi ya matoleo ya kisasa yameitafsiri kwa njia hii.

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Hiki kirai kimetumika kuonyesha kwamba mambo aliyoyaongelea Mungu hakika yatatokea. Bwana Mungu anasema.