sw_tn/amo/01/08.md

16 lines
475 B
Markdown

# katilia mbali
Hapa "Katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au kutoa."
# yule mtu aishiye katika Ashdodi
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsri hii kumaanisha, "watu waishio katika Ashdodi." Matoleo ambayo yana "mtu" mara zote hutafsiri hii dhahiri kumaanisha mfalme.
# mtu ashikaye fimbo ya kifalme kutoka Ashkeloni
Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kuwa mtu mmoja anayeishi Ashdodi.
# Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni
au "nitapigana dhidi ya Ekroni"