sw_tn/amo/01/08.md

475 B

katilia mbali

Hapa "Katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au kutoa."

yule mtu aishiye katika Ashdodi

Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsri hii kumaanisha, "watu waishio katika Ashdodi." Matoleo ambayo yana "mtu" mara zote hutafsiri hii dhahiri kumaanisha mfalme.

mtu ashikaye fimbo ya kifalme kutoka Ashkeloni

Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kuwa mtu mmoja anayeishi Ashdodi.

Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni

au "nitapigana dhidi ya Ekroni"