# katilia mbali Hapa "Katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au kutoa." # yule mtu aishiye katika Ashdodi Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsri hii kumaanisha, "watu waishio katika Ashdodi." Matoleo ambayo yana "mtu" mara zote hutafsiri hii dhahiri kumaanisha mfalme. # mtu ashikaye fimbo ya kifalme kutoka Ashkeloni Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kuwa mtu mmoja anayeishi Ashdodi. # Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni au "nitapigana dhidi ya Ekroni"