sw_tn/act/22/22.md

24 lines
627 B
Markdown

# Mwondoeni mtu huyu katika nchi
Neno "nchi" yanaongeza mkazo "Mwondoeni." : "Mwueni"
# Na walivyokuwa
Neno "Walipokuwa" limetimika kwa alama matukio mawili ambayo yanatokea wakati huo huo.
# na kutupa mavazi yao na kutupa mavumbi juu
Tukio hili linaonyesha Wayahudi walikuwa wamekasirika kwasababu walijisikia kuwa Paulo alikuwa amenena kinyume cha Mungu.
# akaamuru Paulo aletwe
Hii inamaanisha "aliwaamuru askari wake ili kumleta Paulo"
# ngome
ilikuwa imeungana na uwanda wa nje wa hekalu
# Akaamuru aulizwe huku anapigwa mijeledi
Kamanda alitaka Paul kuteswa kwa kuchapwa viboko ili kuhakikisha anasema ukweli.