# Mwondoeni mtu huyu katika nchi Neno "nchi" yanaongeza mkazo "Mwondoeni." : "Mwueni" # Na walivyokuwa Neno "Walipokuwa" limetimika kwa alama matukio mawili ambayo yanatokea wakati huo huo. # na kutupa mavazi yao na kutupa mavumbi juu Tukio hili linaonyesha Wayahudi walikuwa wamekasirika kwasababu walijisikia kuwa Paulo alikuwa amenena kinyume cha Mungu. # akaamuru Paulo aletwe Hii inamaanisha "aliwaamuru askari wake ili kumleta Paulo" # ngome ilikuwa imeungana na uwanda wa nje wa hekalu # Akaamuru aulizwe huku anapigwa mijeledi Kamanda alitaka Paul kuteswa kwa kuchapwa viboko ili kuhakikisha anasema ukweli.