sw_tn/act/17/30.md

24 lines
626 B
Markdown

# Taarifa unganishi
Paulo alimaliza mazungumzo yake na wanafilosofia wa Areopago, aliyokuwa ameianza.
# Kwahiyo
neno hili ni alama ya kauli kwamba alisema kwasababu ya kile ambacho alisema hapo awali
# Mungu hakuzijari nyakati za ujinga
Inaweza kuwa na maana zifuatazo 1) "kwamba hawajui kuhusu kitu chochote" au 2) " kumkataa kwa makusudi"
# Wakati atakapo wahukumu walimwengu kwa haki kwa njia ya mtu aliyemchagua
hapa, neno "walimwengu" inarejea watu waishio duniani.
# kwa mtu ambaye alimchagua
"kwa mtu ambaye Mungu alimchagua"
# Mungu alitoa uhakika wa mtu huyu
"Mungu alionyesha uchaguzi Wake kwa mtu huyu"