# Taarifa unganishi Paulo alimaliza mazungumzo yake na wanafilosofia wa Areopago, aliyokuwa ameianza. # Kwahiyo neno hili ni alama ya kauli kwamba alisema kwasababu ya kile ambacho alisema hapo awali # Mungu hakuzijari nyakati za ujinga Inaweza kuwa na maana zifuatazo 1) "kwamba hawajui kuhusu kitu chochote" au 2) " kumkataa kwa makusudi" # Wakati atakapo wahukumu walimwengu kwa haki kwa njia ya mtu aliyemchagua hapa, neno "walimwengu" inarejea watu waishio duniani. # kwa mtu ambaye alimchagua "kwa mtu ambaye Mungu alimchagua" # Mungu alitoa uhakika wa mtu huyu "Mungu alionyesha uchaguzi Wake kwa mtu huyu"