sw_tn/act/04/36.md

20 lines
398 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Luka anamwelezea historia ya Barnaba
# Yusufu, mlawi, mtu kutoka Kipro, alipewa jina la Barnabasi na mitume
Mitume walimpa Yusufu jina jingine Barnaba
# hiyo ikitafasiriwa
ambalo linaweza kupewa tafasiri
# mwana wa faraja
Mitume walitumia hivyo kuonyesha kwamba Yusufu alikuwa mtu wa kutia moyo wengine
# akaziweka chini ya miguu ya mitume
Aliwasilisha pesa kwa mitume.