# Maelezo ya jumla Luka anamwelezea historia ya Barnaba # Yusufu, mlawi, mtu kutoka Kipro, alipewa jina la Barnabasi na mitume Mitume walimpa Yusufu jina jingine Barnaba # hiyo ikitafasiriwa ambalo linaweza kupewa tafasiri # mwana wa faraja Mitume walitumia hivyo kuonyesha kwamba Yusufu alikuwa mtu wa kutia moyo wengine # akaziweka chini ya miguu ya mitume Aliwasilisha pesa kwa mitume.