sw_tn/act/04/32.md

12 lines
371 B
Markdown

# Walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja
Neno "Moyo" linaelezea mawazo kuwa wote waliwaza kitu kimoja na moyo mmoja.
# walikuwa na vitu vyote shirika
Waligawana vitu vyao kila mmoja na mwenzake.
# na neema kubwa ilikuwa juu yao wote.
Pengine maana yake 1) Mungu aliwabariki waumini zaidi; au 2) Watu katka Yerusalemu waliwasaidia waumini katika hali ya juu.