# Walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja Neno "Moyo" linaelezea mawazo kuwa wote waliwaza kitu kimoja na moyo mmoja. # walikuwa na vitu vyote shirika Waligawana vitu vyao kila mmoja na mwenzake. # na neema kubwa ilikuwa juu yao wote. Pengine maana yake 1) Mungu aliwabariki waumini zaidi; au 2) Watu katka Yerusalemu waliwasaidia waumini katika hali ya juu.