sw_tn/act/02/40.md

28 lines
704 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa sehemu ya habari kwa tukio la siku ya Pentekoste. Inaanza sehemu nyingine inayoelezea jinsi gani waumini waliendelea kuishi baada ya siku ya Pentekoste.
# alishuhudia na kuwasihi
"Aliwaambia waziwazi na kuwasihi waitikie kwa ujumbe alioutoa kwao.
# Jiokoeni mtoke katika kizazi hiki kiovu
Wajiokoe kutoka katika adhabu ya Mungu itakayowapata watu waovu.
# wakayapokea maneno yake
Inamaanisha wakayapokea maneno aliyoyasema Petro kuwa yalikuwa ya kweli.
# Walibatizwa
Wote walioamini walibatizwa.
# hapo wakaongezeka katika siku hiyo kama watu elfu tatu
"watu wapatao elfu tatu waliongezeka"
# katika kuumega mkate
Walishiriki na kula chakula kwa pamoja