sw_tn/2sa/19/24.md

12 lines
344 B
Markdown

# Mefiboshethi
Hili ni jina la mwanaume
# Hakuwa ameivalisha miguu yake
"Hakuwa ameitunza miguu yake." Miguu ya Mefiboshethi ilikuwa na ulemavu. Kifungu kinaonesha hakuwa ameitunza miguu yake vizuri.
# Kwa nini haukwenda nami, Mefiboshethi?
Daudi anazungumzia kwa nini hakwenda naye pale yeye na watu waliomfuata walipoondoka Yerusalme.