# Mefiboshethi Hili ni jina la mwanaume # Hakuwa ameivalisha miguu yake "Hakuwa ameitunza miguu yake." Miguu ya Mefiboshethi ilikuwa na ulemavu. Kifungu kinaonesha hakuwa ameitunza miguu yake vizuri. # Kwa nini haukwenda nami, Mefiboshethi? Daudi anazungumzia kwa nini hakwenda naye pale yeye na watu waliomfuata walipoondoka Yerusalme.