sw_tn/2sa/15/13.md

16 lines
543 B
Markdown

# Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana
Hapa watu wanarejerewa kwa "mioyo" kusisitiza utiifu wao kwa Absalomu.
# kujiepusha na Absalomu... kwa haraka... na ataleta
Hapa Daudi anaongelea Absalomu na watu aliokuwa nao kama "Absalomu" yeye mwenyewe kwa sababu watu walikuwa wanafuata mamlaka ya Absalomu.
# kuushambulia mji kwa ukali wa upanga
"Mji" unatajwa kuonesha watu wa mji. "Ncha ya upanga" inarejerea kwa panga za waisraeli kusisitiza kwamba waliwaua watu vitani.
# kusababisha madhara
Hii inamaanisha kusababisha madhara kutokea.