sw_tn/2sa/14/08.md

20 lines
524 B
Markdown

# Nitaagiza jambo utakalofanyiwa
Inamaanisha nitalishugulikia jambo hili
# Tekoa
Ni jina la sehemu
# Hatia iwe juu yangu na juu ya familia ya babangu
Hii inamaanisha kwamba ikiwa watu watasema kwamba mfalme amekosea kusaidia familia ya mwanamke yeye hatakuwa na hatia.
# mfalme na kiti chake cha enzi
Hapa neno "kiti cha enzi" linarejerea yeyote angekuja kuwa mfalme mahala pa Daudi.
# Hawana hatia
"Ni msafi." Hapa mwanamke anaongelea mfalme kuwa safi kwa kuisaidia familia yake ikiwa angekuwa ameisaidia tayari.