# Nitaagiza jambo utakalofanyiwa Inamaanisha nitalishugulikia jambo hili # Tekoa Ni jina la sehemu # Hatia iwe juu yangu na juu ya familia ya babangu Hii inamaanisha kwamba ikiwa watu watasema kwamba mfalme amekosea kusaidia familia ya mwanamke yeye hatakuwa na hatia. # mfalme na kiti chake cha enzi Hapa neno "kiti cha enzi" linarejerea yeyote angekuja kuwa mfalme mahala pa Daudi. # Hawana hatia "Ni msafi." Hapa mwanamke anaongelea mfalme kuwa safi kwa kuisaidia familia yake ikiwa angekuwa ameisaidia tayari.