sw_tn/2sa/02/18.md

16 lines
433 B
Markdown

# Seruya...Yoabu...Abishai...Asaheli...Abneri
Haya ni majina ya wanaume
# Asaheli alikuwa mwepesi miguuni kama swala.
Hapa Asaheli analinganishwa na swala, mnyama akimbiaye kwa kasi sana.
# swala pori
Mnyama huyu mdogo mwenye miguu minne, na pembe mbili ndefu kichwani, hukimbia haraka sana.
# Akimfuatia bila kugeuka upande mwingine
Hapa "bila kugeuka" imeelezwa kwa muundo hasi kusistiza ukaribu alioifuata njia ya Abneri.